Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 16
Maneno ya Baba Mtakatifu Francisko
“Uinjililisti wote unatokana na neno la Mungu lililotangazwa: neno
lililosikilizwa, kutafakari juu, kuishi, kusherehekewa na kushuhudiwa
... neno la Mungu linasikilizwa na kusherehekewa, zaidi ya yote katika
Ekaristi, inawalisha na inawaimarisha Wakristo kindani, kuwawezesha
kutoa na ushuhuda halisi wa Injili katika maisha ya kila siku.’
(Evangelii Gaudium 174)
Tafakari
(hutolewa na kasisii/ msemaji/ msemaji wa leo, , Mtawa au mlei)
Tafakari kwa kimya
Somo la Injili (Lk 1:46-55)
16
Simameni
Kiongozi:
Wote:
Heri hao
ambao husikia neno la Mungu na kulishika.
Kushoto:
Mwoyo wangu † wantukuza Bwana,
roho yangu inamshangilia Mungu Mwokozi
wangu; kwa kuwa ameutamaza Unyonge wa
Mjakazi wake.
Kulia :
Kwa maana tazama tokea sasa vizazi wote
wataniita mbarikiwa. Kwa kuwa wenye Nguvu
amenitendea makuu, na jina lako ni takatifu.
Na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi kwa
hao wanamcha
Kushoto:
Umeonyesha nguvu kwa mkono wako
na kuwatawanya wenye kiburi katika mawazo ya
mioyo yao,
Amewaangusha wakuu katika viti vya vya enzi;
na wayonge amewakweza.
Wenye njaa amewashibisha mema,
na matajari amewaondoa mikono mitupu.
Sala za Jioni za Kwaresma 2021