Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 17
Kulia:
Umemsaidia mtumishi wako, Israeli,
Ili kukumbuka rehema zake,
Kama alivyowaambia baba zake,
Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Wote:
Atakuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,
kama mwanzo, hata sasa, na milele milele.
Amina
Heri hao ambao husikia neno la Mungu na
kulishika.
Sala ya Waumini
Kiongozi:
Wote:
Tumuombe kwa Yesu, Neno la milele wa Baba;
tuendelee kuzingatia neno la Maandiko
Matakatifu, hivi kwamba tukiwezeshwa na
nguvu za Roho Mtakatifu, twendelee tukua
katika neema.
Kiongozi:
Yesu, Mwana wa milele wa Mungu, ambaye alikuja
kati yetu katika mwili;
Tujalie tukusikie, tukuone, tukuguse na
kukutazama wakati tunasoma Injili takatifu.
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Yesu, aliye milele pamoja na Baba, na katika
ulimwengu wetu;
usituruhusu tuende mbali na nawe na kuingiani
dhambini, lakini tuweke karibu nawe kwa neno
lako.
Yesu, chanzo cha umoja;
Wauganishe Wakristo wote kwa njia ya
ukombozi wa neno lako, ili tuweze kuwa umoja,
kama vile wewe na Baba na Roho mlivyo na
umoja, katika upendo na utukufu.
Wiki ya Pili - Neno ambaye ni Uzima
17