Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 19
Waziri:
Wote:
Tuombe:
Bwana Mungu wetu,
tufundishe kudhamini mioyoni mwetu
fumbo la Pasaka ya Mwanao
ambayo kwayo umeukomboa ulimwengu.
Fadhili zawadi za neema
tuliopokea kwa upendo wako
na kuzileta katika utimilifu
katika utukufu wa mbinguni.
Tunaomba haya kwa njia ya Kristo Bwana wetu.
Amina
Baada ya sala muhudumu huvaa pazia la humeral, huinama na kuchukua
monstransi. Kwa ukimya anawabariki watu kwa Ishara ya Msalaba na
monstransi.
Sakramenti Kuu huchukuliwa kutoka kwa monstransi na kuekwa katika
Tebanako.
Mwisho
Kiongozi:
Wote:
Bwana awe nanyi
Awe pia na nawe
Kiongozi:
Wote:
Nendeni kwa amani ya Kristo
Tumshukuru Mungu.
Wiki ya Pili - Neno ambaye ni Uzima
Wote wanasimama
19