Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 20
Wiki ya Tatu
Tufundishe Kusali
Maandiko Matakatifu: Somo - Luka 11:1-4
Simameni
‘Ikawa alipokuwa akisali mahali fulani, na baada ya kumaliza, mmoja wa
wanafunzi wake akamwambia,’ Bwana, tufundishe sisi kusali kama vile
Yohana alivyowafundisha wanafunzi wake. “ Akawaambia,
”Unaposali, sema:
Baba, uliye mbiguni, jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utupe leo
na kila siku mkate wetu wa kila siku. Utusamehe dhambi zetu, kwa maana
sisi wenyewe tunawasamehe na wale wanaotukosea. Wala usituletee
wakati wa majaribio. ”
Image: 13th Century Deesis Mosaic of Jesus Christ in the Hagia Sophia temple in Istanbul, Turkey
20
Sala za Jioni za Kwaresma 2021