Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 23
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kabla ya maamuzi makubwa ya maisha yako,
na kabla ya miujiza yako ya uponyaji,
Ee Yesu, ulitumia muda katika kusali,
wakati mwingine usiku kucha;
tupe neema ya kuomba kabla ya maamuzi
makubwa ya maisha yetu pamoja na maandalizi
ya shughuli ndogo za kila siku ambazo ni sehemu
ya maisha yetu.
Wenye dhambi na wenye shida walikuja kwako,
Yesu, kwa msamaha wa dhimbi na uponyaji;
kwa njia ya sala, funza familia zetu, parokia
na jamii, vikiwa vituo vya sala, ili tutajifunza
kusameheana na kuponya vidonda vya moyo.
Msalabani, Yesu, uliwasamehe maadui zako,
ukaahidi Paradiso jinai aliyetubu, na ukaisalimisha
roho yako kwa Baba;
tupokee neema ya kufa na sala midomoni yetu,
pia waumini wenzetu na wanafamilia wajaliwe
kwiingia kwenye makao ya Baba mbinguni
Kwa ombi la wanafunzi wake, Yesu aliwafundisha
ile sala inayopendwa na Wakristo wote:
Baba yetu ...
Sala
Kiongozi:
Wote:
Ee Mungu,
umetufanya sisi jamii iliyochaguliwa,
ukuhani wa kifalme; tunaomba tutafute daima
kuyafanya mapenzi yako ili midomo yetu ikiri yale
imani yetu inatangaza.
Kwa njia ya Bwanao, Bwana wetu Yesu Kristo.
Amina
Wiki ya Tatu -Tufundishe Kusali
23