Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 25
Wiki ya Nne
Jina la Mungu ni Huruma/Rehema
Maandiko Matakatifu: Somo Marko 1:40-42
Wote wanasimama
Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akimsihi, akapiga magoti
akamwambia, “Ukitaka, unaweza kunitakasa.” Akiwa na huruma, Yesu
akanyosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Kwa kweli ninataka.
Jitakase. ” Mara ukoma ukamwacha, naye akasafishwa. ”
Image: Sacred Heart of Jesus, Paray le Monial, France
Wiki ya Nne - Jina la Mungu ni Huruma/Rehema
25