Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 28
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Yesu, umeona dunia yetu ikiharibiwa na kuvunjika
kutokana na janga la Covid 19;
Tujalie wote upole mpya rohoni na kwa vitendo,
ili tuwe wenye kuwaza kwa kina na wenye
heshima, tunapojenga ulimwengu mpya katika
Roho.
Katika wa 2020, Ee Yesu, Kanisa lako limepata
mgawanyiko katika parokia na jamii kwa sababu ya
janga hilo;
Tujenge upya tuwe jamii za imani, kanisa
tunalotegemeana, ili kwa njia ya sala, na
kwa matendo ya upendo ndani ya boma zetu
twendelea kujitoa wakfu kwako.
wapokee marehemu wote kwako, tukikumbuka
haswa wale ambao walifariki kutokana na Covid 19;
Wajalie kitulizo and faraja wote wanaombolezalia
kama uliyoahidi wakati ulifundisha umati Heri
Njema pale Mlimani.
(Ikiwa sala hii itafanyika Machi 17 - Siku ya Mtakatifu Patriki)
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
28
Katika maisha ya Kanisa lako, Ee Yesu, umeinua
wanawake na wanaume Mashujaa katika utakatifu
na wenye moyo ya umishonari;
Bariki Jimbo kuu letu tunapoheshimu mlinzi
wetu mtakatifu Patriki siku hii, na utupe mwamko
ya wito wetu wa kukutangaza kwa ushuuda na
kwa matendo na maneno ili kuujenga Ufalme wa
Mungu.
Yesu mwenye Huruma, unapotufunza kusali,
alituonyesha kwamba sisi tunaopokea huruma ya
Mungu lazima pia tuwe na huruma kwa wale ambao
wametukosea, na hivyo tunaomba;
Baba yetu…
Sala za Jioni za Kwaresma 2021