Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 3
Sala za Jioni za Kwaresma 2021
Njenga Kanisa
langu upya
Kurejea kutoka kwa janga la Covid 19,
kujiandaa kwa baraza la Prenary
Ikiwezekana, inapendekezwa kuwa Maombi haya yafanyike
mbele ya Sakramenti Kuu Altarini.
Maombi yanaongozwa na Padri au shemasi
Catholic Archdiocese of Adelaide
Imeandaliwa na Jimbo kuu la Adelaide na wanachama wa Tume ya Litajia ya
jimbo: Kathy Horan (Mwenyekiti), Fr Maurice Shinnick AO na, Dk Jenny O’Brien
(Katibu Mkuu) & Fr Michael Kyumu.