Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 30
Wiki ya tano
Katika Nyayo za Yesu
Maandiko Matakatifu :Somo Marko 8:34-35
Wote wanasimama
Akawaita mkutano pamoja na wanafunzi wake, akawaambia, “Ikiwa
yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, na ajikane mwenyewe na achukue
msalaba wake anifuate. Kwa kuwa Mtu atakaye kuiponya nafsi ,ataiangamiza, na Mtu atakayeiangamiza nafsi yake kwa ajili yangu na kwa ajili ya
injili, huyu ataisalimisha”.
Image: The stairs which Jesus walked after being arrested in the Garden of Gethsemane,
leading to the House of the High Priest, Jerusalem.
30
Sala za Jioni za Kwaresma 2021