Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 32
Kushoto:
Wenye njaa amewashibisha mema,
na matajari amewaondoa mikono mitupu.
Kulia:
Umemsaidia mtumishi wako, Israeli,
Ili kukumbuka rehema zake,
Kama alivyowaambia baba zake,
Ibrahimu na uzao wake hata milele.
Wote:
Atukuzwe Baba Mwana Roho Mtakatifu,
kama mwanzo, hata sasa, milele. Amina.
Nitatembea mbele zako, Ee Bwana,
kwa maana njia zako ni kweli.
Sala za waumini
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Yesu, umetufanya kuwa wasafiki wa Mungu:
Basi tuweze kudhamini kwamba maisha ni safari
ya imani na kwamba mwisho wake ni kuishi na
wewe Yesu milele yote.
Kiongozi:
Katika maisha yako hapa duniani, Ee Yesu,
ulienda kwenye unyonge wa jamii, ukafanya
urafiki, ukafariji, ukasamehe na kuponya wote
waliodharauliwa.
Tunaomba sisi, Kanisa lako, tufuate mfano
wako, na tuwakaribishe kwenye jamii
wale ambao wametengwa, wameumia,
wamekashifiwa, na kusahaulika, ndipo tuwe
kweli watu wa Mungu.
Wote:
32
Tumtazame Yesu, wewe alitembea barabara na njia
za ulimwengu yetu, yeye ambaye alipitia mito
yake na kusafiri kwenye ziwa zake;
Ee Yesu, na uwe pamoja nasi katika kila mahali
tusafiripo, wewe mwongozo wetu na mlinzi
wetu, upamoja nasi kwa amani na upendo.
Sala za Jioni za Kwaresma 2021