Sala za Jioni za Kwaresma 2021 SWAHILI - Book - Page 33
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kiongozi:
Wote:
Kuhani wa Milele, aliyepakwa mpako mtakatifu na
Roho mtakatifu wakati wa ubatizo wako, maisha
yako yalikuwa kwa ajili ya Baba na kwa ajili ya watu
wote;
Mtakase askofu wetu Patrick, Makasisi wetu na
mashemasi, Watawa, waume kwa wake ambao
wameweka wakfu maisha yao kwa Mungu, na
waamini wote wa Kristo, sote pamoja tutembee
safari hii ya imani.
Sisi Kanisa, katika nchi hii Kuu ya Kusini ya Roho
Mtakatifu, tunapojiandaa kwa Baraza kuu la Kitaifa
la Prenary ,Kaa nasi, Ee Yesu;
Tusaidie kuyasikiliza kwa makini yale yote
Roho Mtakati anayoyasema kwetu, tuwezeshe
kisikilizana kwa heshima, na Mariamu, Mama wa
Kanisa na Msaada wa Wakristo atuombee kwako.
Safari ya maisha ngumu, na mara nyingi tunajikwaa
katika udhaifu wa imani, kwa hofu ya kudumisha
tumaini, na ukosefu wa upendo ya kweli;
Katika mikono yako ya huruma, wakumbatia wote
wanaotumainia huruma yako na uwachukuwa
katika mahali abapo watauona ukweli wa Mungu
uso kwa uso.
Tunayakusanya dua zetu zote zilio mioyoni mwetu
pamoja mahitaji ya wote wanao tumainia sala zetu,
pamoja tunaumba…
Baba yetu …
Wiki ya tano - Katika Nyayo za Yesu
33